Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa vijana kuwa kundi kubwa la hizo maiti zinazookotwa.
Kulingana na ushahidi wake mwenyewe mara nyingine askari wanachukua maiti na mara nyingine wanakijiji wanaamriwa wazifukie hizi maiti hapo hapo kijijini bila uchunguzi wowote. Makaburu yao yapo mpaka leo.
Jambo hilo limekuwa likifanywa kwa miaka 2 au 3 (kulingana na kumbukumbu yake ya haraka), haraka haraka inaweza kuwa 2021 au 2022 kwakuwa interview imefanyika 2024.