GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba mwanzoni ) na Kubwa zaidi aimarishs Jeshi la Umoja wa Kitaifa litakaloshirikisha karibia 99.9% ya Makabila yote ya Congo DR.
Na mwambieni kabla hajarejea Kwake DR Congo aende Mbezi Beach au Kunduchi (Ushuani) akamsalimie aliyemrithi hicho Cheo alichonacho sasa na akimkosa atampata Mbezi Beach hii ya anakoishi CDF wa zamani (atokae) Mkoani Mbeya kwa aliyekuwa Rubani wa Ndege ya Marehemu Baba yake na Yeye pia ili wasalimiane na amshauri asipende sana Kuvaa kwa Kujificha (hasa kwa Kuvaa Kofia na Kuishusha asijulikane ) na kwenda Kula Bata Baa Moja maarufu sana Sinza.
Na amwambie kuwa tunamshukuru mno baada ya kutoka nchini Congo DR na Kuwaibia vya Kutosha amekuja Kuwekeza nchini katika Maeneo mbalimbali na sasa kuwa ndiyo Mmiliki wa Hoteli moja maarufu iliyoko Mita chache tu kutoka katika Nyumba ya Hayati Baba wa Taifa ambayo inapendwa sana Kukaliwa na Wachezaji wa Taifa Stars na wa Klabu iliyobahatisha na inayofurahia Sare yake na Simba SC leo.