PostGE2025 Msitujumuishe na wataokafanya vurugu D9 (Hao ni Mamluki)

PostGE2025 Msitujumuishe na wataokafanya vurugu D9 (Hao ni Mamluki)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.

HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.

HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.

Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala kufanya vurugu bado haiwapi Polisi mamlaka ya Kushoot binadamu.

Mjanja M1 ✍️
 
That's what's up.
 
Kama tutaandamana kinyonge (maandamano ya aman) msitegemee kuwa mtasikilizwa, tutaandamana mwisho tutapuuzwa! Kama mbwai iwe mbwai, had samuya na genge lake watuachie nchi yetu.
 
Hakunaga maandamano ya amani hayo yatakuwa matembezi ya kina mama kama ya fistula.

Kama utashiriki maandamano jua risasi zipo na fujo zipo tawala dhalimu haziondoshwi kwa kutembea Kama wakina mama bila nginja nginja.

Kama huziwezi ginja ginja kaa ndani kama wakina mama uje uuawe humo humo ndani.
 
Bilioni 5 ziliingizwa kwenye simu ukiwa waziri wa fedha na sasa waziri mkuu.Hivi wewe na wanakutuma akili sawa
 
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.

HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.

HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.

Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala kufanya vurugu bado haiwapi Polisi mamlaka ya Kushoot binadamu.

Mjanja M1 ✍️
9 D pamoja ni muumini ya maandamo ya amani nyundo yangu kiunoni lazima iwepo haitatoka kamwe labda mambo yaaribike sana , yakiaribika natafuta kichochoro kwa raha zangu , sasa yule atacheza kwenye kumi nane zangu akifyatu marisasi kwa wananchi , kisogo chake hakina bahati kabisa siku iyo
 
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.

HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.

HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.

Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala kufanya vurugu bado haiwapi Polisi mamlaka ya Kushoot binadamu.

Mjanja M1 ✍️
Mpumbavu wewe kama kuna AMANI unaandamana ili iweje sasa?

Tunaandamana kupinga utekaji, upotezwaji, kuuliwa na ma ccm na polisi wao.

Pili kupinga watu kujiingiza madarakani kwa nguvu bila uchaguzi wa kidemokrasia.

Waliojiweka madarakani ni wezi, watekaji na wauaji ndio sababu ya sisi kuandamana D9.

Wewe kama unamaandamano yako ya amani usiyachanganye na yetu, sisi hatuna AMANI kwenye maandamano yetu.

Mtu aliyejiweka madarakani kwa njia ya bunduki na kuua, hawezi kutoka kwa njia ya amani au kidemokrasia.

Mwiba hutojea ulipoingilia.

Hawa watekaji na wauwaji tutawatoa kwa vurugu nyingi sana hata ikibidi kuichoma nchi wao waondoke.

Kumaliza chawa kichwani ni sharti unyoe nywele, nasi tutainyoa tanganyika chawa na mayai yao tutayachoma moto.

Hutaki vurugu hama nchi, ila hatuandamani kwa amani.

MO29 waliua hawataki kuongelea mauwaji bali wanaongelea miendokasi na vituo vya mafuta.

Sasa tukawashe vituo vyote vya ccm, polisi, miendokasi na kila tukijuacho ili wakikosa cha kuongea sasa wataanza kuongelea watu.

Hakuna AMANI ndio maana tunaandamana, ujinga wako peleka ccm.
 
Back
Top Bottom