Msituletee Kiingereza chenu hapa- W.Ruto!

Msituletee Kiingereza chenu hapa- W.Ruto!

Alianza vizuri lakini sasa ICC inamuita tena na safari hii hachomoki. Suppose hawa majaji wanauawa? In any case atakuwa implicated! Wazi wazi anasema maneno ya vitisho juu yao.
 
Namshauri Uhuru na Ruto wasipanic hii itawapa hawa mazwazwa ushindi. People of Kenya decided to elect them and they will do it again
 
Back
Top Bottom