Msituone kimya wanawake tunavumilia mengi, hatutaki pesa zenu, migegedo pia ni muhimu

Hivi wanaume wengine huwa wanawazaje? Hivi ndoa ni nini? Unakuta mtu anakaa na mke kama dada yake, yeye anadhani mke kaja kuishi kwake kama ustawi wa jamii ale na kuvaa!! Jamani ndoa(tendo) ni hitaji muhimuu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wewe utavumilia kwa muda gani?
Inategemea na madanga mangapi yananipa pressure huko nje...ntapima,japo kwa ujumla wanawake ni wavumilivu mnooo...mtu anaeza kua hakutii ila unamheshimu km kawa na unaona ni problem ya muda tu itapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…