Msituone kimya wanawake tunavumilia mengi, hatutaki pesa zenu, migegedo pia ni muhimu

Msituone kimya wanawake tunavumilia mengi, hatutaki pesa zenu, migegedo pia ni muhimu

1. Pale unapooa nje ya wito na baada ya hapo wito unakuja na huna cha kufanya.

2. Pale mke anapokuambia wewe ndio mchungaji mimi hayanihusu by the way umeitwa wewe.

3. Pale pastor anapokuwa mlimani kuutafta uso wa Bwana ili apate cha kulisha kundi halafu mke anataka sex

4. Pale mama unapomshirikisha kuhusu huduma anakwambia wakati unanioa hukuniambia kuhusu huduma.

Huu ni mtazamo wa upande mwingine wa shilingi. Ni ngumu kuelewa hasa pale pastor kweli kaitwa kiukweli ukweli na akakosa hekima ya kumuuliza Munhu kuhusu mzigo wa ndoa alonayo, hata mke hawezi kumuelewa.
 
And they shall become one flesh...... Watu wawili wanakuwaje one flesh kama flesh moja haitaki kuungana na ingine? Adamu alipomwenjoy Hawa alisema: '......Sasa huyu ni NYAMA ndani ya nyama yangu.......(Mwa 2:29). Ndoa ni tamu jamani wacheni tu!
 
Hahahhaa aisee duniani kuna mambo.inawezekana jamaa alikua anampa mistari ya ukizini dhambi(bidada akashindwa hata kuchepuka kuogopa dhambi)
 
Mh! Hapo kuna mambo mengi yako katikati yao. Kama wameshakaa na wameshindwa kuafikiana,wanatakiwa maombi. Isije ikawa kuna pepo la mahaba hapo katikati yao
 
023f03e5a74d3f280ee8716920ee346d.jpg
Du! Ameonewa sana.
 
Mh! Hapo kuna mambo mengi yako katikati yao. Kama wameshakaa na wameshindwa kuafikiana,wanatakiwa maombi. Isije ikawa kuna pepo la mahaba hapo katikati yao
Mama kashatamka maombi hayamsaidii anataka bakoraà tyuuuu!![emoji2]
 
Mama mzuri namna hiyo anateseka na mautamu yake agrrrrrr.... kuna mdada niliwahi kumsikia akilalamika kuwa somtime anakaa miez miwili hajaguswa hlf mwanamke mwenyewe mashallah! majaribu makubwa sana aisee..
 
Source:Gossip Mill Nigeria
Naomba nisitoe maoni yangu [emoji40]
 
Wanawake wanaopenda kuangalia movie Huw Wana vioja sana! Anaweza vaa uhusika wa tukio ambali sio lake na likamuumiza kama la kwake,mi nilijua imekutokea wewe mkuu kumbe mke wa pastor wa kufikirika
 
Back
Top Bottom