1. Pale unapooa nje ya wito na baada ya hapo wito unakuja na huna cha kufanya.
2. Pale mke anapokuambia wewe ndio mchungaji mimi hayanihusu by the way umeitwa wewe.
3. Pale pastor anapokuwa mlimani kuutafta uso wa Bwana ili apate cha kulisha kundi halafu mke anataka sex
4. Pale mama unapomshirikisha kuhusu huduma anakwambia wakati unanioa hukuniambia kuhusu huduma.
Huu ni mtazamo wa upande mwingine wa shilingi. Ni ngumu kuelewa hasa pale pastor kweli kaitwa kiukweli ukweli na akakosa hekima ya kumuuliza Munhu kuhusu mzigo wa ndoa alonayo, hata mke hawezi kumuelewa.