Msituue kisa pesa za NHIF

Msituue kisa pesa za NHIF

Nelibaba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
290
Reaction score
386
Hello, napaza sauti kuzitaka baadhi ya hospitali binafsi kuacha tabia ya kuifanya NHIF kama mradi wa kujipatia fedha kwa kuhatarisha afya za watanzania!

Tafadhali zingatieni weledi na maadili ya kazi yenu.
 
Hueleweki sema kilichokupata
 
Back
Top Bottom