Hello, napaza sauti kuzitaka baadhi ya hospitali binafsi kuacha tabia ya kuifanya NHIF kama mradi wa kujipatia fedha kwa kuhatarisha afya za watanzania!
Tafadhali zingatieni weledi na maadili ya kazi yenu.