Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa hovyo ina maana ulizaliwa kwenye familia hovyo. Unajua mambo mengi ni ya urithi. Kwa mfamo umezaliwa kwenye familia ambayo baba na mama wote ni walevi, wanapishana kwenye korido wamelewa nyie watoto itakuwaje? Baba kabla ya kumuoa mama yako alikuwa na watoto 5, je wewe unaponaje kuzalisha/kuzalishwa nje ya ndoa?
Uhovyo wa mtu fatilia background ya kwao. Mambo ya kusema eti mke au mume ndiiyo kakufanya uwe hovyo sikubaliani nayo. Kwa nini uudhiwe ukanywe pombe usifunge vilago kwenda kwenu au wewe mwanaume usiamua kuondoka ukamwacha mkeo?

hivi Caroline, utafunga virago vingapi kila kukicha?
Na kama ingekuwa hivi, basi kila leo ingekuwa ni kuamisha kambi tu....lo.....
Kwani mapungufu yapo tu hata uende kwa nani,
nadhani ni bora kama yakikushinda uamue kuishi peke yako tu........................[/QUOTE]
Juzi kuna mtu (mwanamke) alikua analalamika jinsi mume wake alivyosababisha mpaka akabadilika na kua tofauti kabisa na alivyokua mwanzo....wapo waliounga mkono...waliotoa pole pia kushauri.Tatizo ni kwamba ile mada ilikua inatetea wanawake na kuponda wanaume.Sasa je wanaume wao ndo hawakutwi na situation kama hizo!?!Wangapi wanakua walevi baada ya muda ndani ya ndoa?! Wangapi wanakua na hasira za haraka ambazo hazikuwako mwanzo?! Wangapi wanakimbia nyumba zao walizozipenda mwanzo!!?!Mwangapi wanakua wachachu (bitter) tofauti na kabla ya ndoa??!!Na nyie wadada/wamama hua mnawafanya nini mpaka wababa/kaka zetu wanabadilika na kua hivi?!Na inapotokea hua mnafanya jitihada gani kuwasaidia warudie hali zao za kawaida kabla ya kuanza kulalamika fulana kawa mlevi mara sijui mkorofi?!Samahanini kwa maswali mengi ila jamani kuweni waungwana kwa wenzi wenu.Kama hutaki abadilike katika hali ambayo ni chanya kuelekea hasi jitahidi usiwe kisababishi cha yeye kua hivi!!Na ikitokea kua responsible na tafuta suluhisho badala ya kulalamika!!!
Yeah - Kuna wanawake wengine ni VIMEO katika mahusiano - Lakini ujifanya MALAIKA mbele ya watu! s*hit!
mwanamke ndani ya nyumba aki change, we kimbilia kwa Bwana Yesu ambako kuna furaha ya kweli, amani and uzima wa milele..
Yeah - Kuna wanawake wengine ni VIMEO katika mahusiano - Lakini ujifanya MALAIKA mbele ya watu! s*hit!
Kiongozi usisahau pia, kuna wanawake wengine kiukweli bila kuwa kauzu mambo hayaendi kwenye familia,
sasa huu ukauzu wa kujitakia ukubwani wakati hukuwa hivyo ndo taabu inapoanzia hapo .......lol.....
Where is it?
Kama kweli kuolewa ni bahati,basi kuoa ni kubahatisha!!!!!!!!!!
Wamama/wadada acheni kua defensive.Kwasababu tu mtu hana biashara yake haina maana hawezi kua na upeo wa kutosha kuielewa biashara inavyoendeshwa...inavyoenda...faida...hasara na yanayopelekea yote haya.
Kuwepo kwenye ndoa sio kujua kila kitu (wapo tunaona wasiojua hata kwanini wameoa/olewa) na kua nje haina maana tupo gizani hatujui lolote.Kama ambavyo wamama hua wanabadilika kwasababu ya mume ndivyo ambavyo na nyie mnaweza kuwasukuma wakaka nje ya mstari.Kama mfano wa Bacha kuhusu kaka aliyekua mcheshi na sasa hivi hayuko vile tena ndivyo ambavyo wakati mwingine wanandoa hua mna"SUCK THE LIFE OUT OF EACHOTHER". Na ikitokea umefanya hivi acha kusema ungemjua mke/mume wangu...ungekua sijui ndani ya ndoa ungejua...well haya yote yanajulikana.Malalamiko hayasaidii...zaidi yanachoweza kufanya ni kuongeza kero kwa mwenzio na kuzidi kumsukuma kwenye ulevi/depression/hasira/wanawake/kazi sana etc.Pendaneni...jalianeni...saidianeni....na mpunguze kulalamikiana!
Dah! Hii nimeipenda. Naomba rukhsa niiweke kama signature yangu!
take screw driver n do the nidful on me pls...!!!!!!!!!!