New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Huyo ni mkia aka maandamano aka mezani fc au ukipenda muite tu bashite fc.Ila mkuu dizaini flani wewe ni comedian haiwezekani, huwa nakuona unajinasibu kama mwana yanga ila nikitazama kwa ndani wewe ni mwanasimba uliyetukuka