DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Dec 14, 2022 #1 Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Dec 14, 2022 #2 hakuna dili za hatari dunia hii. Kwani wana panga dili la kumuua mungu au