rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
tatizo lake anaamini mtu akiwa amesoma anajua kila kitu wakati kuna nafasi za wasomi katika timu kama kwenye benchi la ufundi, mwekahazina, katibu wa timu na msemaji wa timu lakini yeye kila siku kuteua kamati na kujaza watu ambao hawana mchango wowote mimi kama mshabiki wa Simba nasikitika sana kupambana na yanga mbovu tunataka tukutane na yanga bora ili tupate changamoto ya kupima uwezo wetu