Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?