Elections 2010 Msomaji raia wa raia mwema analipwa na slaa?

Status
Not open for further replies.

kakadeo

Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
6
Reaction score
0
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?
 
Tupatie link ya habari alizoandika ili tuchanganye zako na zake tukujibu
 
gazeti makini kwa watu makini na wazalendo,gazeti la waungwana
 
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?

Najua ulikuwa una hamu ya kuweka uzi. Ahsante mkuu tumeuona uzi wako
 
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?

wewe si ndio yule mhariri wa daily nyuzi.
 
Kwani wale akina Deodatus Balile, Manyerere Jackton, Muhingo Rweyamamu nau wanalipwa na JK?
 
Kakadeo huyo unayetaka kumbeba habebeki. Ni gunia la misumari na angalia watu wote makini wamelibwaga chini na kuendelea na hamsini zao. Pole sana,achana nalo na jiunge na msafara kwenda Nuruni.
Ha ha ha ha hiyo ndio kweli akitaka kuota sugu ya mukichwa aendelee kubeba gunia la misumari
 
:llama:[Kakadeo huyo unayetaka kumbeba habebeki. Ni gunia la misumari na angalia watu wote makini wamelibwaga chini na kuendelea na hamsini zao. Pole sana,achana nalo na jiunge na msafara kwenda Nuruni]

Absolutely a perfect response
 
Kasome HabariLeo, Mzalendo na Rai...Raia Mwema naona wewe umepotea maana kila dalili zaonyesha wewe ni ama Kagoda au Deep green..
 
Acha kusoma magazeti ya kimapinduzi ya fikra ie Mwanahalisi na Ria Mwema Has ukigundua akili zako ni mgando
 
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?

Mwandishi wa makala hizi hana shida ya kulipwa na mtu yeyote, yeye ni Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake na sio mnafiki kama nyie wengine mnaotanguliza matumbo yenu na sio maslahi ya nchi yetu!!
 
kasome Kiu na Ijumaa , Mzalendo na Uhuru, bila kusahau Daily News na RAI pamoja na Mtanzania.
 
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?

Haya Tuambie Sasa MWANZONI Alikuwa anatumia Jina Gani
 
bojuka
uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia una fikra mgando :llama::rockon:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom