TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
gazeti makini kwa watu makini na wazalendo,gazeti la waungwana
Una justification yoyote kwa utetezi wako?Au kwa sababu linaandika yale upendayo kusikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gazeti makini kwa watu makini na wazalendo,gazeti la waungwana
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?