Hata cheo cha kujitolee anapewa anayestahili si kila mtu. So hongera zake"nimpongeze mshindi ila lazima ukweli usemwe kuwa amepata huo urais wa ACA kuwakilisha vilabu 54 baada ya wale waliotakiwa kupewa kama tajiri wa tp mazembe moise katumbi chapwe kukataa kwakuwa yuko busy na kampeni zake za urais huko congo dr" amesema mtangazaji wilson oruma wa efm radio ambaye Cognizant "Think Tank and Adorable Angel" namjua ni mwana yanga sc wa kufa mtu
umepewa cheo cha kujitolea unaringa
wamlaumu wilson oruma na si mimiNgoja waje wakumwagie supu ya motoo...
Kabisa ww umetoa taarifa..wamlaumu wilson oruma na si mimi
viongozi wa simba sc vyeo vya kipuuzi na kishamba kama hicho huwa hawavihitajiBaada ya hersi atakaefuata ni mangungu
kwahiyo sina kosa. mjumbe hauwawiKabisa ww umetoa taarifa..
Ameringaje sasa?...halafu jamaa hanaga hata hizo mbanga.umepewa cheo cha kujitolea unaringa
Acha upumbavu bwan popoma"nimpongeze mshindi ila lazima ukweli usemwe kuwa amepata huo urais wa ACA kuwakilisha vilabu 54 baada ya wale waliotakiwa kupewa kama tajiri wa tp mazembe moise katumbi chapwe kukataa kwakuwa yuko busy na kampeni zake za urais huko congo dr" amesema mtangazaji wilson oruma wa efm radio ambaye Cognizant "Think Tank and Adorable Angel" namjua ni mwana yanga sc wa kufa mtu
umepewa cheo cha kujitolea unaringa
katika mpira hiko ni cheo cha kipumbavu na kishamba na ndiyo maana hata hujaona kiongozi wa simba sc, wa mamelodi Sundowns fc, wa al ahly na to mazembe fc hawajapoteza muda wao kukitaka na kukishobokea ila msomali mswahili kakipigia magoti kabisa kukiomba ili tu apate sifa na aimbwe katika airwaves mbalimbali za TanzaniaHata cheo cha kujitolee anapewa anayestahili si kila mtu. So hongera zake
an authentic dunce at workAcha upumbavu bwan popoma
ni mumeo? mbona unamjua mno hivi?Ameringaje sasa?...halafu jamaa hanaga hata hizo mbanga.
na huu ndiyo ukweli kamiliWamemsusia ndio maana Msomali hana furaha licha ya kupewa nafasi hiyo
Ni kama viti Maalumu tu. Hakukuwa na mtu yoyote wa kushindana nayena huu ndiyo ukweli kamili
Tafuta kazi ya kufanya, acha kuwasema wanaume humu ambao hata huwajui. POPOMA!!ni mumeo? mbona unamjua mno hivi?