Msomali Mswahili cheo chake huko ACA alijitolea tu kuliomba baada ya waliotakiwa kupewa kukutana?

Hiari au kujitolea ila hiyo platform ni kubwa sana kwa watu wa mpira hivyo hivyo unashangaa anakuwa Rais wa Fifa
 
Hiari au kujitolea ila hiyo platform ni kubwa sana kwa watu wa mpira hivyo hivyo unashangaa anakuwa Rais wa Fifa
yaani msomali mswahili aje kuwa rais wa fifa? hivi hizi bangi zenu mnazovuta huwa mnahakikisha kuwa mmeshakula?
 
Lakini lazima uwe na sifa maana ataingia kwenye kamati ya utendaji ya CAF. Vilaza hawaingii mle.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wivu ni tabia za kike, mtoto wa kiume kuwa na wivu hii nini maana yake?
 
Hapo kuna jamaa kama angemwalika Manzoki angepata hiyo nafasi.
 
Wa Tanzania wanajua hayo ? Mi bichwa yao imejaa maji tu, yaani mnachukiana chukiana kijinga
Angepewa Raia wa nchi nyingine cheo kingekuwa na maana kapewa mtz ghafla cheo hakina maana
Huu umoja haijalishi utaishi miaka mingapi lakini mwenyekiti wa kwanza ametoka Tanzania
 
Pongezi kwa raisi wa yanga kuongoza afrika sio jambo dogo
 
Angepewa Raia wa nchi nyingine cheo kingekuwa na maana kapewa mtz ghafla cheo hakina maana
Huu umoja haijalishi utaishi miaka mingapi lakini mwenyekiti wa kwanza ametoka Tanzania
Mkuu hiyo CV haifutiki kuwa yeye ndio wa kwanza ,msiwe watu wa wivu na chuki muda wote .

NB : kuna watu hata kikao cha familia hana sifa za kuchaguliwa kuongoza kitu
 
oruma huyu huyu aliyewaanyanya nyie makolo msimu uliopita kwamba yanga haifiki kokote shirikisho au mwingine!!!
 
kwahiyo sina kosa. mjumbe hauwawi
Shida huna akili ndio maana watu wanakurushia mawe, kama cheo cha kupewa kwanini hakupewa mjomba wako? tunasifia mchakato uliomfanya yeye kufika hapo ambapo dingi yako hawezi kufika.
 
Chuki ni mzigo ukiubeba utaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…