Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga watajaa punde. Waanze biashara ya maduka na bar. Huku Masai wakibung'aaMasai karibuni Msomera. Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, ardhi yenye rutuba.
Wacha Masai washupaze shingo. Watastuka wakiwa wamechelewaWachaga watajaa punde. Waanze biashara ya maduka na bar. Huku Masai wakibung'aa
Angalau ungeweka picha ya kaghorofa ili kuwavutia wamaasai waje Msomela.Masai karibuni Msomera. Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, ardhi yenye rutuba.
Wapi pa kufugia ngombe zetu na mbuzi mtu mmoja ana ngombe 100 na zaidi! Nani atamsafirishia??Masai karibuni Msomera. Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, ardhi yenye rutuba.
Ng'ombe 100 zote za nn? Huku unashindia Shuka?Wapi pa kufugia ngombe zetu na mbuzi mtu mmoja ana ngombe 100 na zaidi! Nani atamsafirishia??
Jiji la kwanza duniani la wafugajiMasai karibuni Msomera. Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, ardhi yenye rutuba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachaga watajaa punde. Waanze biashara ya maduka na bar. Huku Masai wakibung'aa