Msomi ambaye hajawahi kufeli "Nikki wa Pili" hajui kuandika

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma

2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu

SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno jua pia spelling za mvua. Ukiangalia picha niliyoambatanisha utaona, kuna makosa ya kawaida katika uandishi lakini hilo kosa ni kwamba hajui kuandika. Je, mfumo wetu wa elimu ni kweli unashida kama yeye ambavyo huwa anasema?

-Mtu anayesoma sana vitabu huwa anajua sana misamiati na spelling, sasa kama yeye huwa anasoma anasoma nini hicho ambacho kiasi kwamba anashindwa kuandika maneno ya darasa la kwanza.

NIKKI PUNGUZA UJUAJI, UTAKUPONZA.

(Kaandika huko Instagram)
Jua kaandika Juwa
Mvua kaandika mvuwa
 
Mkuu labda anasoma lugha ya mkoloni.......

Buy the way tunapoteza muda mwingi Ku discuss watu kuliko Ku discuss kazi zao.......

Mimi ninavyojua Nikki alisoma vizuri tu elimu take haina utata
 
Hilo tatizo lipo kwa wabongo wengi kama kuweka r panapotakiwa kuwa na L au mfano neno jua mtu anaandika juwa, wengi wameathiriwa na makabila wanayotoka so acha unaa
 
Una
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma

2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu

SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno jua pia spelling za mvua. Ukiangalia picha niliyoambatanisha utaona, kuna makosa ya kawaida katika uandishi lakini hilo kosa ni kwamba hajui kuandika. Je, mfumo wetu wa elimu ni kweli unashida kama yeye ambavyo huwa anasema?

-Mtu anayesoma sana vitabu huwa anajua sana misamiati na spelling, sasa kama yeye huwa anasoma anasoma nini hicho ambacho kiasi kwamba anashindwa kuandika maneno ya darasa la kwanza.

NIKKI PUNGUZA UJUAJI, UTAKUPONZA.

(Kaandika huko Instagram)
Jua kaandika Juwa
Mvua kaandika mvuwa
Unamhukumu mtu base on one instance hii imekaaje? Naona post yako imekaa kimbea mbea tu
 
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma

2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu

SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno jua pia spelling za mvua. Ukiangalia picha niliyoambatanisha utaona, kuna makosa ya kawaida katika uandishi lakini hilo kosa ni kwamba hajui kuandika. Je, mfumo wetu wa elimu ni kweli unashida kama yeye ambavyo huwa anasema?

-Mtu anayesoma sana vitabu huwa anajua sana misamiati na spelling, sasa kama yeye huwa anasoma anasoma nini hicho ambacho kiasi kwamba anashindwa kuandika maneno ya darasa la kwanza.

NIKKI PUNGUZA UJUAJI, UTAKUPONZA.

(Kaandika huko Instagram)
Jua kaandika Juwa
Mvua kaandika mvuwa

Sasa angeandika JUA tungetofautisha vipi kati ya JUA ya kufahamu na JUA sun?
 
Huyu Nikki anazidisha ile imani kuwa WAVUTAJI HATUNA MAANA.
 
1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma

2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu

SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno jua pia spelling za mvua. Ukiangalia picha niliyoambatanisha utaona, kuna makosa ya kawaida katika uandishi lakini hilo kosa ni kwamba hajui kuandika. Je, mfumo wetu wa elimu ni kweli unashida kama yeye ambavyo huwa anasema?

-Mtu anayesoma sana vitabu huwa anajua sana misamiati na spelling, sasa kama yeye huwa anasoma anasoma nini hicho ambacho kiasi kwamba anashindwa kuandika maneno ya darasa la kwanza.

NIKKI PUNGUZA UJUAJI, UTAKUPONZA.

(Kaandika huko Instagram)
Jua kaandika Juwa
Mvua kaandika mvuwa
Wengine wanaathiriwa na lugha za makabila yao kwenye kutamka mpaka kuandika, huenda naye ni mmoja wao
 
Kwa 80% ya watanzania, Swahili is not a first language. Only 20% ya waTZ wanaishi mjini. Hizo spelling ni km mkurya na R, msukuma na L, mmakonde na N, mpare na th.. hizo habari za spelling hazimaanishi mtu hakupitia vidato cha necta na chuo kikuu
 
Hata huko watu tunaandika lugha ya Malikia ila kuongea ni weupe
 
Achana na sanaa ya Bongo we kabachori, nenda kaendelee na biashara yako ya utapeli na wizi wa Magari hapo kariakoo
 
Back
Top Bottom