Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa mfano, bajeti za nchi, huziweka katika sura ya kisiasa.Tutafanikiwa kwa mwenendo huu kweli?
Nawakumbuka,
MASUMBUKO LAMWAI,
MKULLO,
SARUNGI,
LIPUMBA,
MWAKYUSA, NK.
Sijaelewa swali lako au mjadala wako? Kwani Mwanasiasa ni nani na msomi ni nani? Kwa mawazo yangu wanasiasa ilibidi wawe wasomi wazuri ili tuepukane na matatizo tuliyonayo sasa hivi. Kama wanasiasa wetu wanafanya madudu wanayofanya sasa hivi basi usomi wao haujawakolea.Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa mfano, bajeti za nchi, huziweka katika sura ya kisiasa.Tutafanikiwa kwa mwenendo huu kweli?
Nawakumbuka,
MASUMBUKO LAMWAI,
MKULLO,
SARUNGI,
LIPUMBA,
MWAKYUSA, NK.
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa mfano, bajeti za nchi, huziweka katika sura ya kisiasa.Tutafanikiwa kwa mwenendo huu kweli?
Nini huwamaliza kitaaluma?

..kuna uwezekano wamechoka na masuala ya kisomi-somi ndiyo maana wamehamia kwenye siasa.
..nimewahi kusikia kwamba Waisraeli walimpendekeza Albert Einstein kuwa Waziri Mkuu kwanza wa Israel.
..pia Raisi wa kwanza wa Israel ni mwanasayansi aliyebobea akiitwa Chaim Weizmann " the father of industrial fermentation."
..sidhani kama ushiriki wa wasomi wetu ktk siasa ni kitu kisicho na manufaa kwa taifa letu.
Watu bana...hivi unajua kwa mfano Newt Gingrich ana PhD. na alikuwaga professor pale University of Georgia....au Tom DeLay (former House Majority Leader) kwa mfano..jamaa naye ana PhD. Na ukiangalia CV za masenenta na ma congessman na ma congresswoman wa Marekani utagundua wengi wao wameenda shule kikwelikweli.....
Kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote kwa mwanasiasa kuwa msomi na kinyume chake
Si ndiyo maana wana chagua viongozi ambao hawaja enda shule halafu waki chemsha wao ndiyo wakwanza kupiga kelele.
Huh? kina nani wanaochagua viongozi ambao hawajaenda shule? Wamarekani?
''''''''''''''''''''''''''''? Kwa mawazo yangu wanasiasa ilibidi wawe wasomi wazuri ili tuepukane na matatizo tuliyonayo sasa hivi. ;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
Wasomi si lazima wawe wanasiasa lakini wanasiasa lazima wajitahidi wawe wamesoma, au wajisomeshe![/QUOTE]
INTE:""".,
Ipo taaluma ya siasa.
Wanasiasa watoke huko.
Wapige siasa zao.
Inakuwa jambo la kushangaza INJINIA, AU MWANASHERIA kujiingiza kwenye siasa kisha kuanza kufanya maamuzi yaliyo kinyume na taaluma yake.
Mfano:
-- Kuanzisha kiwanda au kutoanzishwa kunahitaji itikadi ya kisiasa.
--- Mtu anamuua mwenzake uamuzi unatolewa kisiasa.
Wanaoingiza hizo siasa katika hizi juhudi za maendeleo, ukichunguza unawakuta wataalamu wetu wa Uhandisi na sheria wamo ndani.