Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda.
Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii.
Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel Management And Tourism unamkuta ni waziri wa Ujenzi.
Haya mambo yamekuwa yakibagaza maendeleo na elimu kwa kiasi kikubwa sana. Leo unaenda bungeni unamkuta Bashiru anagonga meza kushangilia majibu aliyotoa Mwita Waitara.
Bashiru was so smart kabla hajakubali kutumika kisiasa. Now anadhalilika katika hali ambayo hata akirudi chuoni hatokuwa na amani tena, heshima yake itakuwa imeshuka sana.
Mimi nashauri wasomi wa kubwa wangebaki kuwa wataalamu na washauri. Otherwise wanaweza jikuta wanadhalilika sana na kujikuta muda wote wakilamba viatu vya wakubwa.