Kuna sehemu ukipangiwa unalazimika kutoa rushwa ili uziepuke.Utakuta sehemu hakuna huduma za jamii,ushirikina kwa wingi na hata huo muamko wa elimu hamna.Ila kinachoniumiza utakuta maafsa wa elimu ndo wa kwanza kudai hiyo rushwa,pengine mwalimu anakua hana hilo wazo.