Msomi Mtoa Rushwa

Msomi Mtoa Rushwa

ELEPHANT MAN

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Jamani eti nasikia waalimu wanatoa rushwa ili wapangiwe mjini...sasa hawa watawafundisha watoto nini?
Jamani, PCCB kazi kwenu saaaaaasaaaaa?
 
teh teh teh kama viongozi waliopo ndani ya pccb wenyewe wanapokea rushwa iweje kwa mwl kutoa rushwa
A%20S%20465.gif
 
Kuna sehemu ukipangiwa unalazimika kutoa rushwa ili uziepuke.Utakuta sehemu hakuna huduma za jamii,ushirikina kwa wingi na hata huo muamko wa elimu hamna.Ila kinachoniumiza utakuta maafsa wa elimu ndo wa kwanza kudai hiyo rushwa,pengine mwalimu anakua hana hilo wazo.
 
Back
Top Bottom