Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Binadamu akifa Huwa hapatikan mbadala wale semaa Huwa anapatikana mtu mwingine, wakuchukua nafasi yaakeWapenzi mbona wengi Tena wazuri kuriko hata huyo alietangulia mbele za haki
Watu wanatoka mbali, changamoto ya milima na mabonde wanavuka pamoja mkuu, love still exist, ukioteaToo much love is harmful😭😭😭
Sio hivo kaka watu wanapenda kweliElimu yake haijamsaidia
DahWala sio mke ni uchiz wake tu.... mke sio mama useme hutompata mwingine.....
Asa wewe dume kufa, kabla hata ya 40 yako kuna lile dume linajifanya linamfariji sana wife wako litaanza kuichapa bila huruma
Mm mwnyw Niliwah kupenda mpaka kulia, ila sio kufikia hukoSio hivo kaka watu wanapenda kweli
Barabara ya king'ara ndo nchi gani hiyo?Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo.
Haija julikana kama Kuna kitu kipo NYUMA ila tatizo lilianza kutokana na msongo wa mawazo kisa mkewe.
Ni msomi wa shahada ya uzamivu(PHD)
View attachment 3597224
Nairobi iyoBarabara ya king'ara ndo nchi gani hiyo?
Nipe stori kaka ilikuwaaje, je yule uliempenda mpaka kulia sahivi, ipo nae mnawasiliana je anaweza kukuliza hata sasaaMm mwnyw Niliwah kupenda mpaka kulia, ila sio kufikia huko
Demu ukimuonyesha kuwa unampenda lzm aanze kukuvimbia.Nipe stori kaka ilikuwaaje, je yule uliempenda mpaka kulia sahivi, ipo nae mnawasiliana je anaweza kukuliza hata sasaa
Hongera sana kaka, hata mi nilisha wahi kulia Kwa demu hivi nilikua mtoto kipindi hicho, huyo demu alikua mtu mazima sana, ila Kwa sasa sijui alipo, na Wala hata akija hawezi nitete mesha, unapo zaidi kitembea unakutana na pisi kibao ndo chanzo kuona kumbe unaweza move onDemu ukimuonyesha kuwa unampenda lzm aanze kukuvimbia.
Mm nilivumilia Ila ikafika mwisho, nikafunga Kila kitu khs yeye akawa anajirudi ila nilishaamua kufunika