Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Yah baby girls wapo wengi hakuna haja ya kuumizwa kichwaHongera sana kaka, hata mi nilisha wahi kulia Kwa demu hivi nilikua mtoto kipindi hicho, huyo demu alikua mtu mazima sana, ila Kwa sasa sijui alipo, na Wala hata akija hawezi nitete mesha, unapo zaidi kitembea unakutana na pisi kibao ndo chanzo kuona kumbe unaweza move on