Hongera sana kaka, hata mi nilisha wahi kulia Kwa demu hivi nilikua mtoto kipindi hicho, huyo demu alikua mtu mazima sana, ila Kwa sasa sijui alipo, na Wala hata akija hawezi nitete mesha, unapo zaidi kitembea unakutana na pisi kibao ndo chanzo kuona kumbe unaweza move on