Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

frangwi12

New Member
Joined
Jun 2, 2022
Posts
3
Reaction score
0
Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841.

Nipo Dar, Temeke.
 
Huna mtu anayekujua akakuunganisha na kazi ,maana ndio mfumo wa Sasa wa kupata kazi ..
 
Huna mtu anayekujua akakuunganisha na kazi ,maana ndio mfumo wa Sasa wa kupata kazi ..
Kaka sina ndo maana naomba kwenu msaada, nitashukuru sana kama nitapata wa kuniunganisha, ata wew kama una watu nisaidie mkuu
 
Mola akufanyie wepesi mkuu.
Puuza wanaokuupuza humu na kukuletea kejeli.
 
Nakupa fursa mbili zilizopo Shule ya Sekondari Sakana Iliyopo Kiluvya, Gogoni, jijini Dar Es Salaam.

1. Kama wewe ni Mwalimu wa Fizikia na Hesabu (Basic Mathematics) karibu ufanye Interview, ya masomo hayo mawili, anahitajika Mwalimu wa masomo hayo as soon as Possible.

2. Kuna nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia mwaka huu 2022, endapo utaleta Mwanafunzi kujiandikisha, utapewa kiasi cha Shilingi 100,000/= hii ni shule ya kwanza kuweka fursa hii kwa mtu yeyote, bila kujuana. The more the heads, the more the money.....

Shule pia itaendelea kupokea wanafunzi wa kidato cha pili mwaka 2023' mapema mwisho wa Mwaka huu.

Kwa mawasiliano;
0743123946 WhatsApp
0684436954 Call.

Karibu.
 
mzee tafuta sponsor uende nje huko hapa bongo utasubiri hadi ukome...ama kama unaweza kufanya kazi ya ulinzi nakukaribisha sana kwenye kampuni ya gardaworld...ila uwe mrefu tu
 
Back
Top Bottom