Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mbele sio nyuma mkuuMbona mbele watu wanalipishwa kama kawa haijalishi wenyw mziki wao wamefulia au la!! Kama hujafuata sheria basi inakula tu kwako....hakuna namna.waongee tu wayamalize. Hao wasanii kila siku wanalilia hatimilili halafu wao wanaongoza kuiba vya wasanii wenzao bila malipo
Kula likes mia...halafu lijitu linatetea ujingaaMbona mbele watu wanalipishwa kama kawa haijalishi wenyw mziki wao wamefulia au la!! Kama hujafuata sheria basi inakula tu kwako....hakuna namna.waongee tu wayamalize. Hao wasanii kila siku wanalilia hatimilili halafu wao wanaongoza kuiba vya wasanii wenzao bila malipo
Na Mimi namuongezea like yanguKula likes mia...halafu lijitu linatetea ujingaa
Hahahahahahhahaha wewe jamaaaaMsondo Ngoma maisha yao yote ya muziki hakuna aliyewahi kushika milioni ya pamoja, leo hii wamepanda bei ghafla? Haya.