Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Maalim Gurumo alinunuliwa GARI na Almas so Almas ana hisa MSONDO!

Mange kasema watanzania wanafki! Alikufa Kanumba, nchi nzima ilikuwa upande wa Kanumba!

Kesi ilipoamka tena Mahakamani, watanzania wale wale, wapo upande wa Lulu!

Hawa ndio watanzania Hawa. Leo wanawaita MSONDO wana njaa! Kesho msanii wa MSONDO akipitisha bakuli la Matibabu Muhimbili, wataponda!
 
Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.
Ukisikia hila za kwapa ndo hizi...
 
Walisajiri hizo kazi...ama wanalopoka...tuu...unajua wengi wanadharau ile zana ya kusajiri kazi...wanakuja kutaka kuadai wakifika mahakamani swali ni moja tu ulisajiri...kuwa wewe ndie mmiliki halali?
 
alikiba ajianda kulipa mabilioni kwa kuiba kionjo cha despacito
hahahaha hao wazee watulie tu na wakienda huko mahakamani watashindwa tu.
Kwa hiyo kisa jirani yako aloiba mbuzi hajashitakiwa basi we ukiiba kuku usishtakiwe pia??
 
nenda ukawe wakili wao uone utakavyo aibika huko mahakamani kuiba ni kachukua/kuhamisha kitu jinsi kilivyo mwanzo mwisho
 
Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.
Vyuma kweli vimekaza
 
Walisajiri hizo kazi...ama wanalopoka...tuu...unajua wengi wanadharau ile zana ya kusajiri kazi...wanakuja kutaka kuadai wakifika mahakamani swali ni moja tu ulisajiri...kuwa wewe ndie mmiliki halali?
Hahahahah apo ndo kuna shughuli Kwan nan mmiliki wa ile bandi
 
Maalim Gurumo alinunuliwa GARI na Almas so Almas ana hisa MSONDO!

Mange kasema watanzania wanafki! Alikufa Kanumba, nchi nzima ilikuwa upande wa Kanumba!

Kesi ilipoamka tena Mahakamani, watanzania wale wale, wapo upande wa Lulu!

Hawa ndio watanzania Hawa. Leo wanawaita MSONDO wana njaa! Kesho msanii wa MSONDO akipitisha bakuli la Matibabu Muhimbili, wataponda!
Maisha bila unafiki hayaendi
 
Back
Top Bottom