mwanaumemashine
Senior Member
- Sep 11, 2017
- 121
- 141
Ni kosa kubwa sana. Hukumbuki Profesa J na Jose Chameleon wa Uganda walivyodaiana kwa Chameleon kuiba beat ya ndivyo sivyo?Kwani beat kufanana ni kosa?
Njaaa hizi ni shida kionjo m300 akat haya mauzo ya wimbo og hayakufka m1 huu ungese
Ainisha hicho kifungu cha sheria hapaKisheria inaruhusiwa Ku Copy chini ya 20% ya wimbo!
Yani kwasababu wamedai hako yao???msondo wakapimwe kojoooooooooooo
Ila ukweli hapo fa na ay Hawapati hata mia hawana haki miliki ya zile nyimbo walimuuziaga sonyMauzo Habari ndio Iyo ya Mwana Fa & Ay yalifika 2+ Billion...?mbona tigo wanatakiwa kulipa unapodai haki zako ukumbuke kutonyang'anya za wenzako.
Ni haki yao ya msingi kudai... kuhusu mauzo sio kweli kwamba hayakufikia m1. Kumbuka Diamond (WCB) Malipo anayopata kwa mwezi kutokana na views YouTube, wimbo unauzwa katika App tofautitofauti, wimbo unatumika kama callerTunes katika makampuni ya simu, hapo bado hatujaangalia Vingilio vya show mbalimbali ambazo anauimba wimbo huo halafu unasema eti hata m1 haujaingiza?Njaaa hizi ni shida kionjo m300 akat haya mauzo ya wimbo og hayakufka m1 huu ungese