hapana musee.. wimbo wa Ajali(wanaume tumeumbwa mateso) ni wimbo wa mwisho aliotunga marehemu TX Moshi William kabla ya kufariki.. Huo wimbo ni mali ya msondo ngoma kipindi hicho mmiliki hakua TUCTA, TUCTA alishajiotoa zamani...
SDG hao wote hawakufanya mazungumzo nimengalia mahojiano ya saida take one na juzi ijumaa clouds 360 ,mtoto wa issa matona aliohojiwa na anadai hayupo hata mmoja ,aliyefanya nae mazungumzo ili kuzirudia nyimbo za baba yake ,wote wamezitumia bila kufuata utaratibu,ila yy anachukulia poa.