Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Sahihi Mkuuhapana musee.. wimbo wa Ajali(wanaume tumeumbwa mateso) ni wimbo wa mwisho aliotunga marehemu TX Moshi William kabla ya kufariki.. Huo wimbo ni mali ya msondo ngoma kipindi hicho mmiliki hakua TUCTA, TUCTA alishajiotoa zamani...