Msongamano wa Mabasi ya Mwendokasi Wazua Maswali, Je, Serikali Inachukua Hatua?

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi milango inafunga kwa Taabu!
kweli nimeamini hapa kuna jambo kubwa linaweza kutokea tena la KAFARA
kwa sasa sitapanda tena mwendokasi mpaka mmalize kufanya kafara yenu maana hapa naona kabisa kuna kama watu 150 hivi mtawachoma kwenye hayaa mabasi yaanayoshika moto kila kukicha

Ni aibu sana tuna viongozi wana VX-V8 wanakula upepo mtamu kwenye Gari wakati wapiga kura wanauwana kwenye mabasi haya
 
Si waliongeza daladala 30?
 
Watanzania lini mtaelewa kutokuwepo kwa vita si amani?
 
Ukisimama mlangoni kwa ajili ya kuingia hauna haja ya kupiga hatua, Wahafihina wanakubeba juujuu utajikuta tu upo ndani na hujui umefikaje.
 
Nimeona watu wa VX V8 wakipita kwenye bara bara ya mwendokasi kwa kuwasha hazard tu huku wapiga kura wao wakisubiri bus ambazo hazipo.
 
Me nakushauri kuliko usubiri mwendokasi hasa asubuhii na jioni Anza kutembea ukitafuta mbadala wa daladala uhakika upo wa usafiri
 
Back
Top Bottom