SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

Tanzania Tuitakayo competition threads

Joyce laurent shija

New Member
Joined
May 25, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta kichaa cha mimba lakini siku zinavyozidi kwenda serikali ione kuna umuhimu wa hii elimu na issiishie tu kusema mama mjamzito aende na mwenza klinik bado haijaaaidia kwahivyo mwenza na familia nzima inapaswa kupata elimu ya mabadiliko ya huyu mwanamke kwani muda mwingine huyu mwanamke anapitia manyanyaso kutokana na familia au jamii kutoelewa mabadiliko yake.

Ni muhimu saana pia kujua vyanzo vinavyopelekea magonjwa haya kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo madhara yanavyozidi kuongezaka tunaona ukatili wa watoto, watoto wa mitaani kuwa wengi, single mother's wengi hiyo yote ni sababu ya magonjwa ya akili wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua kwa sababu huyu mama anapata mabadiliko makubwa saana ndani yake mabadiliko ya kiakili, kimwili, hata fikra, kwahivyo serikali inapaswa kuona hili vinginegyo itaendelea kupost matukio ya ukatili. lakini ukiachilia mbali wajawazito kuna umuhimu wa kuongeza somo la saikolojia au stress management kwanzia kidato cha kwanza itasaidia vijana wengi kujua na kupambana na magonjwa ya afya ya akili.

Lakini pia kutopata elimu ya ya afya ya akili inapelekea wamama wengi kujifungua watoto walemavu,midomo sungura, mgongo wazi ,watoto njiti na magonjwa mengine yanayosababishwa na afya ya akili kwa hivyo kuna umuhimu wa serikali kutoa hiii elimu mapema.
 
Upvote 1
magonjwa ya akili wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua kwa sababu huyu mama anapata mabadiliko makubwa saana ndani yake mabadiliko ya kiakili,kimwili,hata fikra,kwahivyo serikali inapaswa kuona hili vinginegyo itaendelea kupost matukio ya ukatili. lakini ukiachilia mbali wajawazito kuna umuhimu wa kuongeza somo la saikolojia au stress management kwanzia kidato cha kwanza itasaidia vijana wengi kujua na kupambana na magonjwa ya afya ya akili
Vizuri kama hivi, unatupatia elimu kuwa unyogovu ni hali inayowapata. Ahsante kwa elimu
 
Back
Top Bottom