Msosi gani ni mtamu sana kwako?

Msosi gani ni mtamu sana kwako?

IG25

Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
28
Reaction score
17
Eeeh bwana eeh ebu tujuzane misosi mitamu ambayo ukila unajiramba, mimi Nikola wali samaki hunitoi kabisa sijui nyie
 
Chapati ya kusukuma na maini rosti,.nipike mwenyewe bila kusahau milkshake ya avocado au juice ya ukwaju au ubuyu..oh yeah[emoji39][emoji39]
Hebu nielekeze mama namna ya kupikw hizi bagia, nazipenda mno. Sijui ni kunde hizi
20190723_130213.jpeg
 
Mimi napenda ugali dagaa.... Dagaa wa Mwanza wa kaushwe vizuri na nyanya kitunguu karot hoho na makila kitu.... Na kapilipili uwiiiiii ntakulaaaa.....

Au kiporo Cha ubwabwa na maharage
 
Ni kunde izoo.... Unazichambua then unaziloweka ucku kucha asubuhi unaziblend unatia viungo viungo kama vile vya kuweka kwenye bagia za dengu

( Aaah kutype nacho kipaji ujueee)
Ahsante mamaa ngoja nikajaribu, ujue nikidhani zinachemshwa kama maharagwe then unafinyanga kama ugali unatia kwenye mafuta
 
Ni kunde izoo.... Unazichambua then unaziloweka ucku kucha asubuhi unaziblend unatia viungo viungo kama vile vya kuweka kwenye bagia za dengu

( Aaah kutype nacho kipaji ujueee)
@Qurie. Baada ya hapo unazikaanga au siyo...au unatia kama unapika maandazi
 
Ni kunde izoo.... Unazichambua then unaziloweka ucku kucha asubuhi unaziblend unatia viungo viungo kama vile vya kuweka kwenye bagia za dengu

( Aaah kutype nacho kipaji ujueee)
@Qurie: Baads ya hapo unazitia kwenye mafuta kama samaki au maandazi?
 
Ndizi bukoba/mzuzu na utumbo[emoji39][emoji39][emoji39]nikilaga hua nasahau kabisa jiji la dsm mkuu wake ni nani
 
Back
Top Bottom