Nenda kale kwa mkeonatupia wali...kwenye RAMBO...kitu cha mama lishe...
beberu wa kuchoma au yupi?me ugali na beberu!
beberu wa kuchoma au yupi?
utalishwa pilipili na bamia mpaka uote sugu.. chezea madame B wewe
Mi ndo nasubiria menyu la kazini leo j3 ugali na maharage, nyama,mboga za majani na matunda kwa pembeni, nikiongezea hapo na kyoda changu cha sprite basi nafeel muruaaaaa.
Ebu tupe mida unatupia nini?
.wale wa home,
.wale wa hotelini
.wale wa mahindi ya kuchoma mtaani,
WOTE TWENDE TU ILIMRADI JF NI BURDAAANI TOSHA AND PART OF OUR DAILY LIFE.
teh!teh!teh!....dah! Mkuu Junior. Cux sikuwezi,pole sana kumbe ulikua upendwi kiasi hicho!mwenzio full malavidavi.....ha,ha,ha, yaani hii lunch tosha maana toka ijumaa nilikua sijapata kucheka kama leo Junior. Cux umefanya siku yangu leo kuwa murua
ah ucjar mkuu.. we muangalie sana huyo mmama co mzuri.!!
Junior. Cux,tatizo wewe ulikuwa unaacha kodi ya meza kidunchu, sa wakatokea akina Ruhazwe JR kuja kukusaidia kuninenepesha, me ndo Madame B, lazima Ruhazwe JR atatoka shavu tu....!!ah ucjar mkuu.. we muangalie sana huyo mmama co mzuri.!!
Junior. Cux,tatizo wewe ulikuwa unaacha kodi ya meza kidunchu, sa wakatokea akina Ruhazwe JR kuja kukusaidia kuninenepesha, me ndo Madame B, lazima Ruhazwe JR atatoka shavu tu....!!
Au sio?