Naamini Kiswahili ni lugha ambayo haijajitosheleza kwa maana kwamba bado kuna maneno ya lugha za kimataifa ambayo huwezi pata neno mbadala la Kiswahili.Course work je ?
Kiswahili ni kigumu kushinda KiingerezaDaaah kiswahili kisikie hvo hvo.. ndio maana mm ukiniuliza aina za Maneno hua sielewi kabisa.. sijui nomino,vishazi , viwakilishi nk.
Ila ukaniuliza kuhusu part of speech nakujibu ata kama nimesinzia.
Tamrini.Course work je ?
ShukraniTamlini.
SawaWatayaelewa tu baada ya kuhoji maana yake
Daaah kiswahili kisikie hivyo hivyo. Ndiyo maana mimi ukiniuliza aina za Maneno huwa sielewi kabisa. Sijui nomino, vishazi, viwakilishi nk.
Ila ukaniuliza kuhusu part of speech nakujibu hata kama nimesinzia.
Na kiswahili ndio vivyo hivyo
Ni rahisi kuwa na majina yetu kwa vitu ambavyo havikuletwa na watu wa mataifa mengine. Kwa mfano matembele, kisamvu, ng'ombe, nyumba, kinu n.k havikuletwa na ukoloni ndio maana majina yake yalikiwepo tangu zamani lakn baiskeli, simu, televisheni, penseli, rula n.k hatukuwa navyo ndio maana tumetohoa kutoka lugha za wenzetu.Inawezekana maana vitu vingi ni kiarabu
Ila ni vizuri tungetunga na sisi majina tofauti