Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hahaha kishazi😁Daaah kiswahili kisikie hivyo hivyo. Ndiyo maana mimi ukiniuliza aina za Maneno huwa sielewi kabisa. Sijui nomino, vishazi, viwakilishi nk.
Ila ukaniuliza kuhusu part of speech nakujibu hata kama nimesinzia.