Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi.
Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi ya magari Tazara jijini Dar es Salaam, ambako msululu wa magari umeanzia kwenye kituo hicho hadi kuelekea kwenye mataa ya Tazara (umbali wa mita 400).
Your browser is not able to display this video.
Mwananchi Digital ilifika eneo hilo na kuzungumza na baadhi ya madereva waliokuwa wakisubiri kujaziwa gesi, baadhi yao walisema wamekesha kituoni hapo.
βNipo hapa tangu saa tisa alasiri ya jana, mpaka sasa sina uhakika wa kupata huduma kwani mbele yangu kuna bajaji zaidi ya 50,β amesema mmoja wa madereva hao.
Baadhi yao wameeleza kuwa wamezunguka vituo vyote kuna shida, cha Uwanja wa ndege hakifanyi kazi, cha Ubungo pia kina shida. Huku wakazi wa Kigamboni wakilazimika pia kuja Tazara ambako kuna pampu moja, kwani hawana kituo cha kujazia gesi hata kimoja.

Na kinachoshangaza, ukijaza full tank(mtungi mmoja mkubwa nadhani) hiyo gas, unatembea 180km tu.
- Kwahiyo unasubiri 24hrs kupata 180km?
Kwa watu waishio nje ya mji, ni wastani wa siku 3 road, siku moja kituoni!
Initial cost ya kuweka mfumo wa gas ni sawa na gharama ya kutembelea hilo gari kwa siku 115(zaidi ya 60km kwa siku) kama matumizi ya petrol ya gari ni 12km/l.
Kwahiyo, faida yake inapaswa kuonekana kwa kuijumlisha hiyo initial cost kwenye matumizi yako ya gas ya kila siku.