Msoto wa madereva kituo cha kujazia gesi Tazara jijini Dar es Salaam

Lakini siasa pia inaingizwa na baadhi ya viongozi. Kwanini wasiruhusu wawekezaji kuwekeza kwa ukubwa.
Kwani kuna muwekezaji amekatazwa kuweka uwekezaji?Au Bado Demand haijafika kiwango kinachovutia?
 
Akili kubwa
 
Ni mwanzo mzuri
Hiyo ni fursa ya uwekezaji kwa Watanzania wenye maono

Ila wasio na maono wataishia kulalamika na kugombania frem kariakoo
 
Ndio shida ya kurukia technologia mpya wakati hatujajipanga kama nchi.
Sio ya kujipanga tu
Ni Ishu ya wananchi kuona fursa

Hapa MTU mjanja anafungua kituo kingine chapu
Malalamiko ni fursa
 
Analysis nzuri
 
Hao watu hawana kazi ya kufanya aisee, yaani siku nzima unaipoteza kusubiri kujaza gesi tu...
 
AGIZA GESI YA KUPIKIA HAPOHAPO ULIPO USIONDOKE KAA HAPOHAPO MTAANI KWAKO
Gesi zote zipo: Oryx Gas, Taifa Gas, Manjis Gas, O-Gas, Total Gas, Mihan Gas, na Puma Gas: zote zinapatikana hapo
 
Ukute kuna vikwazo kibao ili uruhusiwe kutoa hiyo huduma ya gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…