Mstaafu akifariki malipo yake ya kila mwezi hukoma baada ya muda gani?

Mstaafu akifariki malipo yake ya kila mwezi hukoma baada ya muda gani?

Kaita94

New Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Wanajanvi naomba msaada. Ivi mstaafu akishafariki pesa alizokua anazolipwa kila mwezi huwa zinakoma baada ya mda gani? Haswa kwa sheria zao za mafao ya wastafu
 
Mifuko ya pensheni Wana ratiba ya kuwahakiki physically wastaafu Kila baada ya muda mf. Miezi SITA, hivyo pesa itaingia mpaka pale atakapokosa kwenda kuhakiki
 
Zamani hata miaka 5 ila sasa uhakiki wa face to face hutoboi. Labda mumtafute ndugu anayefanana naye awe anakwenda yeye kuhakikiwa
Wengine wanatumia alama za vidole kama unavyosajili simu wana vimashine vyao mtu ukienda hata uwe pacha wa Marehemu hutoboi unaweka dole kinatoka kitambulisho chako cha taifa sasa wewe kama siye dole tu hakitatoka
 
Back
Top Bottom