Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Tumia akili

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
67
Reaction score
1,550
Wakuu,

JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.

Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.

Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.

Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.

'theState'
 
Wakuu,

JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake...
Ni KWELI Mkuu nchi inaongozwa na aliye NYUMBANI waliopo ofisini hawajui wafanye nini !nadhani Muda wake wa kustaafishwa umefika!!

Hatuwezi ongozwa na mashabiki wasemao chama kina wenyewe!

Old CEO must retire actively!!!asanteni sana the state!!But this time no bleeding!!
 
Heheheh kumekucha , wamemchoka? Ila Sasa umesoma hapo juu kwanza para ya mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…