Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ameandika kama yupo LumumbaNimetoka Kapa hapa,
Ameandika kama yupo LumumbaNimetoka Kapa hapa,
Binafsi nimeona mada haimuhusu huyo mtu... Bali ni mwengine kabisaMtamuweza huyo born town na genge lake?
Kuna group la jamii intelligence nilisomaga kuna mwamba alikuwa anatoa nondo balaaaWakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Nenda mwenyewe sitaki ushahidi. Ha ha haaaa!Hiyo code ya JAL 123 ni kiboko.
Soma nyuzi zake hizo 65 , utagundua kitu, siijui ni mtabiri au mnajimu lakini vitu anavyosema huja kutokeaHizi ID za zamani (miaka 9 uko JF lakini una post 65), huwa zinanipa wakati mgumu sana. Ndiyo maana hata bandiko la kwanza la uzi huu limenishinda kulielewa. Labda nyama zipo chini ngoja niendelee kuchota mtori kwa kijiko kushibisha tumbo.
If no tail the wind take control ... Okey !!!???Nimetoka Kapa hapa,
Done how!!?Done.
Mr.Smile must go.Done how!!?
The plane without tail is lady Gaga!!?the wind takes control is the retired!!?so if the retired is gone the plane will crush !!!who to take over for the rescue!!!?If no tail the wind take control ... Okey !!!???View attachment 2171159
FDR wa Bongo Probably F.Mpa...The plane without tail is lady Gaga!!?the wind takes control is the retired!!?so if the retired is gone the plane will crush !!!who to take over for the rescue!!!?
mkuu unaeza nipatia nyuzi zake za nyuma nimuelewe vzrHuyu mtu anaandika na kupotea then huu uzi utakuja kufufuliwa after some months "execution" is done! Hakuna uzi hata mmoja wa huyu ambao tukio halikutokea!
Watch and pray!
Not a Roman he is arabic by faith(source Magamba Matatu)!!!Might be somebody from island!!!
Ulimwengu ni majanga badoBinafsi nimeona mada haimuhusu huyo mtu... Bali ni mwengine kabisa
Sukuma Gang mnapanga assasination ya Kikwete hadharani namna hii?🤣🤣 Kweli hamna akiliNi KWELI Mkuu nchi inaongozwa na aliye NYUMBANI waliopo ofisini hawajui wafanye nini !nadhani Muda wake wa kustaafishwa umefika!!hatuwezi ongozwa na mashabiki wasemao chama kina wenyewe!!!Mr smile must retire actively!!!asanteni sana the state!!But this time no bleeding!!
Kumbe umeandika ndoto ?.Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Ingia kwa profile yake soma nyuzi zake.mkuu unaeza nipatia nyuzi zake za nyuma nimuelewe vzr