Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Ndugu wa Marehemu mna shida sana!

Alichopanga Mungu mwanadamu hawezi pindua. Rudini Burundi tu
 
Dongo la viwango vya sgr la nani Hilo🏃
 
Nimetoka Kapa hapa,
Huelewi nini!!!okh!!JAL 123 ni kizuizi au mtu kuwekwa kapuni asi access ya nje na kuwa na influence!!ribiti au rupture iliyosahaulika wakati wa overhaul ni mstaafu ambae hataki kustaafu Hadi Sasa yupo active na anainfluence kubwa ya uongozi wa lady Gaga! LAZIMA astaafishwe RASMI ILI waendelee na misheni ile ya kumuweka FDR aliyezungumzwa na mleta mada KWENYE uzi Wake pale January mwaka huu!!!ujumbe kutoka KWA The state wenye nchi yao!!!!kama hujaelewa uliza tena;;!!!
 
Ndo mana kwenu mnaua vikongwe kwa kuwahisi wachawi!

Nyie jamaa ni wapuuzi sana na bora Mungu alituepusha na nyie!

Ndo mana mnamshabikia mpuuzi Kama Zumaridi
 
Analipa fadhila
 
Mm ni Nan mpaka nmpinge Tumia akili ? Tunasbr yatimie
 
Not one, not two, but all of them.
 
Jamani nyie Wazee mbona mnachelewa Sana.
 
Tumia akili je tumaini lingalipo au limeyeyuka? "Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirirudia Tanzania"
Je! Ndiyo basi tena mkuu?
Mtaani hali tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…