Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Kuna group la jamii intelligence nilisomaga kuna mwamba alikuwa anatoa nondo balaaa

Alisema KWA "manufaa ya umma haina budi mstaafu wa 4,kwenda zake"

SASA hapa naanza kupata kitu.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ID za zamani (miaka 9 uko JF lakini una post 65), huwa zinanipa wakati mgumu sana. Ndiyo maana hata bandiko la kwanza la uzi huu limenishinda kulielewa. Labda nyama zipo chini ngoja niendelee kuchota mtori kwa kijiko kushibisha tumbo.
Soma nyuzi zake hizo 65 , utagundua kitu, siijui ni mtabiri au mnajimu lakini vitu anavyosema huja kutokea
 
Huyu mtu anaandika na kupotea then huu uzi utakuja kufufuliwa after some months "execution" is done! Hakuna uzi hata mmoja wa huyu ambao tukio halikutokea!

Watch and pray!
mkuu unaeza nipatia nyuzi zake za nyuma nimuelewe vzr
 
Sukuma Gang mnapanga assasination ya Kikwete hadharani namna hii?🤣🤣 Kweli hamna akili
 
Kumbe umeandika ndoto ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…