Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

May Day May Day May Day

We lost control of the plane.......

Tower: Do you copy........

Tower: This is.... We just lost contact with flight .....
 
Nakwambia uko vizuri kwa maono yako ninakuelewa kaka. Muda utaongea.
 
Hv hawa deep state wapo wapi na akina nan na inakuaje huyu old CEO hawajui hawa deep state na mipango yao wakati kla siku humu Old CEO anasifiwa kuwa ndo bingwa wa mipango
Hata mimi huwa ninajiuliza swali kama lako, subiri waje wataalam watengue hiki kitendawili. Unaambiwa wameapa kuilinda nchi Siyo mtu wala chama, hawana mahaba na yeyote, hawamuonei mtu, wanakupa miongozo ukikaidi kitakachokupata hutakisahau. Hata Rais wa nchi hawezi kuwajua wote. Shangaa sasa hapo!!!
 
Kama mungu alimpigia kura basi asikilize mapenzi yake mungu. Wacha tusikilize ramli za wasihiri maana tukiacha hazitudhuru na tukifuata hazitudhuru pia.
 
@Rais ajaye

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Hv hawa deep state wapo wapi na akina nan na inakuaje huyu old CEO hawajui hawa deep state na mipango yao wakati kla siku humu Old CEO anasifiwa kuwa ndo bingwa wa mipango
Deep state is a very complex institution even nyerere was masterminded in decisions which he didn't like!!he was not the state himself!!Old CEO is nothing without the support of the state !he always ordered to excute missions under their observance!!!Time for new direction for our ship bro!!The old sticks should be burnt for the new one to grow!!!
 
yoga leo kamsagia kunguni assistant ceo kuwa alitumiwa na old ceo kumchunguza ceo.
 
Ndio ndio wote ni watoto kijasusi kwa old CEO!Lazima waingize mtu kinzani wa old CEO tena arabic by faith !!I guess can be a man from island not in our side!!!!Vuai a good choice for me!!!I don't know the state!!!

hahahahaha, eti Vuai, kumbe unabahatisha... huyuhuyu Vuai ambaye naye ni kijana wa _________ .
Dip state ipo saigoni na ndipo alipokulia huyo mnayemlilia, huyo ana baraka zote za Dip state nayeye ni sehemu yao maana amekulia humo...

nywele nyeupe alijaribu hakuamini....
 
Asante kaka
 
Tuupe muda tu ndio jukumu ya wote!!Huyo mstaafu anayestaafishwa ni nani!!!?ngoja tuone!!!
 
Mwendazake alijaribu kuivunja Saigon.
Mstaafu wa 4 alikuwa party ya saiogoni kumbuka

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…