Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Wakuu,

JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.

Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.

Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.

Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.

'theState'
Natapata hisia mbaya sana na huu uongozi wa sasa dhidi ya Uongozi wa mwendazake.mwenye akili tafakari.
 
Imekaa kama "Msoga", "Hisa za Vodacom" na "Monduli"... Ja-Az-Lo [emoji848] huku 123 ikionesha sequence kuanzia top kushuka [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....

Najaribu kuwaza tu lakini.
Nafiki kuna vitu vingi sana vinafikirisha kuhusu hiyo code .
JAL 123 ilikuwa boieng 747 ambayo ilipata ajali ya tailgate strike wakati inapaa then ikapoteza airworthiness ,it was then repaired erratically, ndo ikaja kupata hiyo ajali kubwa iliyopoteza abiria 500 plus,

Labda hii attitude ya mama ya kuwarudisha watu ambao walishaprove failure , ndo lengo la mtoa mada kuhusisha na ajali hiyo?, Mama anaamini ana mfumo ambao unaweza kuwakarabati hao watu , vipi kama ukarabati huo ukawa na makosa na kuja kusababisha majanga?
Had JAL experts had considered how delicate the repair was and how thier plane was vulnerable, it would have been proved that repair imposible to deal with.
Mama anaamini wale wale wa awamu zilipita ambao wengine waliprove failure , wanaweza kubadilika na kuwa watu wema
 
Huelewi nini!!!okh!!JAL 123 ni kizuizi au mtu kuwekwa kapuni asi access ya nje na kuwa na influence!!ribiti au rupture iliyosahaulika wakati wa overhaul ni mstaafu ambae hataki kustaafu Hadi Sasa yupo active na anainfluence kubwa ya uongozi wa lady Gaga! LAZIMA astaafishwe RASMI ILI waendelee na misheni ile ya kumuweka FDR aliyezungumzwa na mleta mada KWENYE uzi Wake pale January mwaka huu!!!ujumbe kutoka KWA The state wenye nchi yao!!!!kama hujaelewa uliza tena;;!!!
Nakupendeaga hapo Kaka
 
Fafanua kwenye naomba 123
 
Fafanua kwenye naomba 123
Chapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
 
Nafiki kuna vitu vingi sana vinafikirisha kuhusu hiyo code .
JAL 123 ilikuwa boieng 747 ambayo ilipata ajali ya tailgate strike wakati inapaa then ikapoteza airworthiness ,it was then repaired erratically, ndo ikaja kupata hiyo ajali kubwa iliyopoteza abiria 500 plus,

Labda hii attitude ya mama ya kuwarudisha watu ambao walishaprove failure , ndo lengo la mtoa mada kuhusisha na ajali hiyo?, Mama anaamini ana mfumo ambao unaweza kuwakarabati hao watu , vipi kama ukarabati huo ukawa na makosa na kuja kusababisha majanga?
Had JAL experts had considered how delicate the repair was and how thier plane was vulnerable, it would have been proved that repair imposible to deal with.
Mama anaamini wale wale wa awamu zilipita ambao wengine waliprove failure , wanaweza kubadilika na kuwa watu wema
Kwanini mnmtupia mzigo mama ili hali mnajua uwezo wake ni mdogo ila kuna mtu wa nje ndiye mwenye usukani?
 
Sio kwamba namtupia mama mzigo , najaribu kuwaza mfano wa mtoa mada .
Ni speculation tu
 
Chapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
Kama itakuwa kweli kaka uko vizuri sana.
 
Magamba matatu anasema ajaye ni arabic by faith na sio mrumi kama msaidizi wa lady gaga!!automatic Msaidizi hatoapishwa kuwa ndiye!!lazima ataondolewa ateuliwe mwingine then lady gaga astep down na kumwachia! wakati mstaafu kesha staafishwa!!! ndivyo nionavyo!!
 
Back
Top Bottom