Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita anaendelea na kazi zake kama kawaida

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita anaendelea na kazi zake kama kawaida

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Meya wa Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita anaendelea na majukumu yake ya kimeya katika ofisi zake zilizoko Karimjee kama kawaida.

Mtangazaji wa ITV Juma Kapalatu amethibitisha hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi ya Lord Mayor Dar es salaam

Source: ITV Habari
 
Kosa analolifanya Mungu ni kutoiteketeza Tanzania, akaiumba upya na watu wapya, akarudisha wale tu ambao ni "watu"!
 
Meya wa Dsm mh Isaya Mwita anaendelea na majukumu yake ya kimeya katika ofisi zake zilizoko Karimjee kama kawaida.

Mtangazaji wa ITV Juma Kapalatu amethibitisha hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi ya Lord Mayor Dsm.

Source ITV habari
Hivi wataalamu wa sheria mje mtueleze bayana, huyu bwana mwita kaondolewa kihalali au kiinterahamwe? Mbona kaondoa kesi mahakamani?
 
Hivi wataalamu wa sheria mje mtueleze bayana, huyu bwana mwita kaondolewa kihalali au kiinterahamwe? Mbona kaondoa kesi mahakamani?

..anadai ameondoa kesi kwasababu akidi ya kumuondoa haikutimia, hivyo maamuzi ya kikao hicho ni batili, na kwasababu hizo bado yeye ni Meya halali wa Jiji la Dsm.
 
Ukiangalia vizuri bila ushabiki huyu meya anajitambua sana, kiukweli swala LA kumuondea meya Ni LA kihesabu.2/3 ya wajumbe 26 Ni 17.ccm walikosa.kilichobaki wanatumia nguvu...
 
Kosa analolifanya Mungu ni kutoiteketeza Tanzania, akaiumba upya na watu wapya, akarudisha wale tu ambao ni "watu"!

Unamkufuru sana Mola wako!
Omba Msamaha sana umefanya kosa kubwa sana kumkosoa Mola wetu

Mungu namuomba anisamehe pamoja nawe
 
Mbona kule twita wanasema, password ya kitasa cha ofisi yake kimebadilishwa hajaingia ofisini?!
 
Back
Top Bottom