johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi wataalamu wa sheria mje mtueleze bayana, huyu bwana mwita kaondolewa kihalali au kiinterahamwe? Mbona kaondoa kesi mahakamani?Meya wa Dsm mh Isaya Mwita anaendelea na majukumu yake ya kimeya katika ofisi zake zilizoko Karimjee kama kawaida.
Mtangazaji wa ITV Juma Kapalatu amethibitisha hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi ya Lord Mayor Dsm.
Source ITV habari
Watu tukabaki na "viatu" vikateketea! Kuna 'watu' ukiwaangalia unaona no bora kufuga mbuzi utamla supu kuliko kuwa nao.Kosa analolifanya Mungu ni kutoiteketeza Tanzania, akaiumba upya na watu wapya, akarudisha wale tu ambao ni "watu"!
Hivi wataalamu wa sheria mje mtueleze bayana, huyu bwana mwita kaondolewa kihalali au kiinterahamwe? Mbona kaondoa kesi mahakamani?
Mungu hakosei. Be very careful unapotaja jina la MunguKosa analolifanya Mungu ni kutoiteketeza Tanzania, akaiumba upya na watu wapya, akarudisha wale tu ambao ni "watu"!
Chadema wengi ni wapagani bwashee!
Kosa analolifanya Mungu ni kutoiteketeza Tanzania, akaiumba upya na watu wapya, akarudisha wale tu ambao ni "watu"!